Social Media
Management
Je, unahitaji msaada wa kukuza na kusimamiwa mitandao
yako ya kijamii na kutengeneza mapato kupitia platform kama YouTube, Instagram, Facebook, Whatsapp na Website yako?
.
Sisi tunakupa suluhisho kamili kwa Tsh.300,000/= tu kwa mwezi, utapata huduma kama Website visitors, Youtube subscribers,
Views & watching hours. Instagram followers and visitors, Facebook Page Advertisement and Whatsapp Business Customers.
Anza safari yako mtandaoni kwa bei nafuu kwa huduma ya haraka na uhakika kutoka Zeeusan Company Limited.